Lyrics > Toxic Lyrikali – Sick Lyrics

Toxic Lyrikali – Sick Lyrics

Toxic Lyrikali - Sick Lyrics
Screengrab, "Sick" by Toxic Lyrikali, YouTube.

Listen and read Toxic Lyrikali – Sick Lyrics on Doba KE.

Following his phenomenal run in 2024, Toxic Lyrikali began 2025 with yet another banger. On “Sick,” he utilizes his signature flow and delivery over the dark and gritty instrumental by Prodbychris.

Read Toxic Lyrikali – Sick Lyrics

[Intro]

Wow, that’s really sweet Chris
Mboka

[Chorus]

Sick style, natapika ni ka niko na nausea
Mwaka mwaki kwa kila msee atanipea ears
Ukikuja near na sijui nia, nakufagilia
Si-fear juu dunia huwa sphere

Wanasifia doba ya kwangu ikipumua kwa pioneer
Siezi wacarry wakidandia career (never)
Drip kama tears, za Vybz Kartel
Fisherman nimewashika kwa net

[Post-Chorus]

East side, kitu si huongeza su mbele suicide
Kiburi nishaichimba kaburi big pride
Real life, ka kipindi East side
Suicide, kuthigitha East side

Kitu si huongeza su mbele suicide
Kiburi nishaichimba kaburi big pride
Real life, ka kipindi East side
Suicide, kuthigitha East side

[Verse 1]

Bare ya right, ukizua na beast kuhusu rights
Ka chengerere ukisumbua ndo naku-tight
Combined huko mkia huenda hadi na line
Juu ya ngwai, zimeshika ka skinny jeans

Hufiki hii ligi kama hufikirii
Hauwezani so OB ndo plan B
Eliminate kama husaidii side hii
Husaidii side hii

Songa kando kwanza we’ ni pikni
Na-track chura yako na si meda ati ni dick print
Wameingia chupa juu booster alipigwa tingli
Kucheza mei niwai za kusiaga mahindi (wewe!)

Nicross nikutandaze msalaba
Flat tandaza, matendo hakuna mjadala
Kill pang’ang’a ki pharmacy nimejaza madawa
Sole yake inarada, ukiona mbanga nadai kung’a-da

[Verse 2]

The real pressure ni ka niko na puncture
Kaza belt juu ya chuma si-sag ka diaper
Nilishawahisia mapema hao ma viper
Kuskuma gunga pia ni ku-grind, grinder

Ka huezi arch, hio mechi nanoa
Siezi kughost na depo mbona unagoa goa
Ki Saf naeza kuchai na bado nakuokoa
Utakojoa ukijaribu kuroroa

Ni kipindi juu Jicha aliruka na ngito kwa balcony
Hii si holy ground hii si wulenje hii sandals
Kiongizi mkebe si kwa box ama carton
Msako ya East youts wako picked random

Si-compete na bado wako na machungu na mimi
Juu ni wapilipili usilete huku mafeelings
Seki seki utasecure ma upini
Nina jeshi, nina waumini

[Chorus]

Sick style, natapika ni ka niko na nausea
Mwaka mwaki kwa kila msee atanipea ears
Ukikuja near na sijui nia, nakufagilia
Si-fear juu dunia huwa sphere

Wanasifia doba ya kwangu ikipumua kwa pioneer
Siezi wacarry wakidandia career (never)
Drip kama tears, za Vybz Kartel
Fisherman nimewashika kwa net

[Post-Chorus]

East side, East side, kitu si huongeza su mbele suicide
Kiburi nishaichimba kaburi big pride
Real life, ka kipindi East side
Suicide, kuthigitha East side

Kitu si huongeza su mbele suicide
Kiburi nishaichimba kaburi big pride
Real life, ka kipindi East side
Suicide, kuthigitha East side

[Outro]

East side, kitu si huongeza si huwa mbele suicide
Kiburi nishaichimba kaburi big pride
Real life, ka kipindi East side
Suicide, kuthigitha East side

YouTube player
Toxic Lyrikali – SICK (Official Music Video)

Produced by: Prodbychris

Video directed by: Badman Bright


Did you enjoy Toxic Lyrikali’s “Sick” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts