Lyrics > Wadagliz KE – Anguka Nayo Lyrics

Wadagliz KE – Anguka Nayo Lyrics

Wadagliz - Anguka Nayo
A scene from the "Anguka Nayo" music video

Listen and read Wadagliz KE – Anguka Nayo Lyrics on Doba KE. Utilizing the “Kufa Juu” instrumental, “Anguka Nayo” is Wadagliz KE’s smash hit that has taken the streets by storm.

Shot by SIL, the official music video, arrived a month after the song came out.

Read Wadagliz KE – Anguka Nayo Lyrics

[Intro]

Ni Wada- ni Wadagliz
Najua mshaskia
Ati, juu tushaskia
Wadagliz
Tushaskia
Cheki
Ati

[Verse 1: Kantel]

Juu tushaskia tukiingia ni kublast
Hukuanga bad unachukuliwa madam so
Anguka nayo itabaki umeflow na vibe
Anguka nayo ka uko single for now, eh

Mdagi Mdagliz mteja hapatikani
Hadi late night saa sita ndo utaniwai
Nikupin location na niko far na Nai
Si ukate call niko chuom mbaya G

Mi najua utakuom, it is what it is
Acha nikushow kwanza form ya di Don
Nishashika mpoa na twende chini kwa chini
Akiwa hadi na mini sai tunaskiza Shin City

Tunafeel free take a video na upost pale NGC
Jina ni Kantel kurap si ni talent G
Anguka nayo, eh, (ati)
Anguka nayo, cheki

[Pre-Chorus]

Anguka nayo twende down low now
Stand up to your feet mikono juu alafu click
Tuliza pace alafu one legeh
Anguka nayo, one legeh, eh

[Chorus]

Anguka nayo, ati
Anguka nayo, ati, eh
Anguka nayo, mwana
Anguka nayo

[Refrain]

Ati anguka nayo kama uko na new catch, ati
Anguka nayo ka unaparty na magwash, ah
Anguka nayo round two kwa hii bash, ati
Anguka nayo, ati anguka nayo, ati

[Chorus]

Anguka nayo
Anguka nayo
Anguka nayo, ati
Ati, anguka nayo
Ati, anguka nayo

[Verse 2: MannaZ]

Nakatika msupa we banjuka
Cheza chini ukikwenda hizo mathutha
Anguka nayo baby girl ushaitika
Mdagi mdagi matisho za Wadagliz

Babe, ah, ama darling
Sitambui serikali (ati), ju ni siri kali (aha)
Tamu kama asali si mnajua ni nani
Flow msha ti-cky, ndio nimedunga hapo down ni-chi

Kutekiwa poa daily mi-ti
Aha, skia, beba

[Chorus]

Anguka nayo (Anguka nayo)
Anguka nayo (Anguka nayo)
Anguka nayo (Anguka nayo)
Anguka nayo, (Anguka nayo)

[Bridge]

Ati anguka nayo msupa amefeel relaxed, ah
Anguka nayo kama uko na new catch, ah
Anguka nayo ka unaparty na magwash, ah
Anguka nayo round two kwa hii bash, ati

[Chorus]

Anguka nayo, ati
Anguka nayo, ati, eh
Anguka nayo
Anguka nayo

[Refrain]

Ati anguka nayo kama uko na new catch, ah
Anguka nayo ka unaparty na magwash, ah
Anguka nayo round two kwa hii bash, ah
Anguka nayo, ati

[Chorus]

Anguka nayo (twende)
Anguka nayo, ati, eh
Anguka nayo
Anguka nayo

[Outro]

Oya
Oya
Twende, dunda

YouTube player
WADAGLIZ KE – ANGUKA NAYO

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts