Lyrics > Wakadinali – Heartbreaker Lyrics

Wakadinali – Heartbreaker Lyrics

Wakadinali - Heartbreaker Lyrics
Heartbreaker cover artwork. By elfedolo

Listen and read Wakadinali – Heartbreaker Lyrics on Doba KE.

Following “Maproso” with Suzanna Owiyo just 2 months ago, the dynamic trio Wakadinali returns with their new single, “Heartbreaker.”

The song is rumoured to feature on their forthcoming Victims of Madness 2 album.

Read Wakadinali – Heartbreaker Lyrics

Yo Wamz you went crazy on this one

[Pre-Chorus: Domani Munga]

Hii nayo imechacha, hii ni ya kuchocha
Hii ni ya kuchoka, hii ni ya kuchoka
Na imechacha, na inachocha
Hii ni ya kuchoka, Far East, Mowlem hadi Gotta

[Chorus: Domani Munga]

Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
I’m a rong move nitakutepa, ah

Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
Unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Huh, weeh

[Post-Chorus: Domani Munga]

Hii nayo imechacha, hii ni ya kuchocha
Hii ni ya kuchoka, hii ni ya kuchoka
Na imechacha, na inachocha
Hii ni ya kuchoka, Far East, Mowlem hadi Gotta

[Verse 1: Domani Munga]

This is the Wuzu effect
Tulikuja kukusalimia
Biz uko uki uko reflected, yeah
Tukikuwacha at a critical condition

Pedant inashine bado
Walai hizo ni nyege zilikufikisha hapo
Sa hii ndo unaanza we ni amateur
Kumbe ni wewe, ilikuwa nikupige tapo

Ka nimekung’ora jitetee
Hii ni kitu iko ka hunipendi uji-A-K
Vako za muchatha hizo ni ancient
We will take a break, I was testing your patience

Keti macho ukisorora
Skiza bro, jiji kuna geri inengri za waroro
Kama walikushow we’ ni mnoma
Iza joh siku hizi watu wengi ni warongo, uh

Keti macho ukiwasorora
Skiza bro, jiji—, ni waroro, eh
Kama walikushow we’ ni mnoma
Iza joh siku hizi watu wengi ni warongo

[Chorus: Domani Munga]

Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?

[Post-Chorus: Domani Munga]

Hii nayo imechacha, hii ni ya kuchocha
Hii ni ya kuchoka, hii ni ya kuchoka
Na imechacha, na inachocha
Hii ni ya kuchoka, Far East, Mowlem hadi Gotta

[Verse 2: Sewersydaa Mkadinali]

Tangazo tangazo, chanjo ni ya polio
Na ka hauko stable, achana na Polo
Ka unatuita, make sure umetufollow
Cancel city Khoja ukiona kanjo

Usikojoe hapo, ile ni loo, pita jaribu hapo chuom
Mi nina soap, we huna foam, na unaishi tu Allsops
Under 40, kwa Forbes na hauna ata bob
Oh no, just call him more, ama—

Just Collymore

[Chorus: Domani Munga]

Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?

[Post-Chorus: Domani Munga]

Hii nayo imechacha, hii ni ya kuchocha
Hii ni ya kuchoka, hii ni ya kuchoka
Na imechacha, na inachocha
Hii ni ya kuchoka, Far East, Mowlem hadi Gotta

[Verse 3: Scar Mkadinali]

Rain rain go away
Little Scarde wants to play
Si huweka towel juu ya bed
Chapa ilale, bro uko safe?

Jaba lipua na macomrades
Njaga imetuma na macho red
Mkwanja hakuna nacancel
Juu gava imekeep chumba ya ma-conmen

Rende ni rong aki ya nani nyi mtatii
And you already know nikiwa ndani huwa for real
Naikipiga raw mpaka inafika huko kwa kidney
Nikisakanga doh, najikumbusha hakuna feelings

Swap una bro bila makosa
Hii ni ya kuchoka, kuchocha, kuchota
300 G’s juu ya mbota
300 G’s wametosha kukuosha

[Chorus: Domani Munga]

Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker?

[Post-Chorus: Domani Munga]

Hii nayo imechacha, hii ni ya kuchocha
Hii ni ya kuchoka, hii ni ya kuchoka
Na imechacha, na inachocha
Hii ni ya kuchoka, Far East, Mowlem hadi Gotta

Wakadinali – Heartbreaker

Produced by: Keith Wamz

Mixed & Mastered by: Aress 66

Artwork designed by: Elfedolo

Label: Big Beatz Afriq & Zoza Nation

Did you enjoy Wakadinali’s “Heartbreaker” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts