Lyrics > Wakadinali – Mjanja Mjini Lyrics

Wakadinali – Mjanja Mjini Lyrics

Wakadinali - Mjanja Mjini Lyrics

Listen and read Wakadinali – Mjanja Mjini Lyrics on Doba KE.

“Mjanja Mjini” is the fourth song on Wakadinali’s Victims of Madness 2.0 album.

Read Wakadinali – Mjanja Mjini Lyrics

It’s a collectible

[Pre-Chorus: Domani Munga]

Jina that I go by the name
Nunua hio jina that I go by the name
Enda uuze hio jina I go by the name (tick)

Jina that I go by the name
Nunua hio jina I go by the name
Enda uuze hio jina, I go by the name (by the name)

[Chorus: Domani Munga]

Mi ni mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini

Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja mjini, mjanja wa mjini

[Verse 1: Domani Munga]

Yoh, busy streets, hizi steps, usinipass usinitrace
Strength inanistress, yet I’m the best
Hanaku warning like an alc-holic, hakuoni, imagine hakuwarn
Nimeshindwa kulipa hizi mandem, nimeshinda kwa clitoris za hizi madem

Juu we’ jua msee, hii strength inanistress
Ushaidarwa kifo cha mende, na uko kinenge
Juu we’ bora umethitirlembe
Chocha kinembe

Mkono wa sweater bado niggas wanachota
Pita vita oh ah
Kijana good job, kijana good job
Kijana good job, kijana good job

[Pre-Chorus: Domani Munga]

Jina that I go by the name
Nunua hio jina that I go by the name
Enda uuze hio jina I go by the name (tick)

Jina that I go by the name
Nunua hio jina I go by the name
Enda uuze hio jina, I go by the name (by the name)

[Chorus: Domani Munga]

Mi ni mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini

Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja mjini, mjanja wa mjini

[Verse 2: Scar Mkadinali]

Roho iko na nyinyi akili iko biz
Hubongi mingi ka pori ni deep
Pesa ndio ilifanya wasinihoji
Bado ndio ilifanyanga wife ashinde akiniforgive

(He-he) ati last warning
My Sudanese bitch anadai niingize ndani na sioni
Eeh, kijana wa mjini
Anytime nikijam, mkwanja hudingli

Hawawezi kunipata
Nina Demio, denge ndio guzzler
Nikimedi yoh, naona makata
Just another day of a hustler

[Pre-Chorus: Domani Munga]

Jina that I go by the name
Nunua hio jina that I go by the name
Enda uuze hio jina I go by the name (tick)

Jina that I go by the name
Nunua hio jina I go by the name
Enda uuze hio jina, I go by the name (by the name)

[Chorus: Domani Munga]

Mi ni mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini

Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja mjini, mjanja wa mjini

[Verse 3: Sewersydaa]

Shika tenje nijenge chocolate, matope ukiopen
Matembe kwa cocktail, ulikembwa na shawry
Pizza huwanga tamu but matoke ni potent
Mamende maforeign, ketepa na molly

Si unajua jogoo ya mashamba huwa hailiangi mjini
Huku ukislumber unaeza itwa mwizi
Especially ka we’ hukaa tu na unakaa fiti
No jobs huku mtaa tukaingia kwa mziki

No doh maarif wetu wakaamua ni upini
Nyongolo kwa street kila ma- aume chini
Sema kipindi, kuenda scene ya pili
Oh no! ‘kapatana na mjanja wa mjini

[Pre-Chorus: Domani Munga]

Jina that I go by the name
Nunua hio jina that I go by the name
Enda uuze hio jina I go by the name (tick)

Jina that I go by the name
Nunua hio jina I go by the name
Enda uuze hio jina, I go by the name (by the name)

[Chorus: Domani Munga]

Mi ni mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini

Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja wa mjini, mjanja wa mjini
Mjanja mjini, mjanja wa mjini

It’s a collectible

Wakadinali – Mjanja Mjini

Produced by: Kayo Rille


Did you enjoy Wakadinali’s “Mjanja Mjini” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts