Wangechi – Msichana Mrembo Lyrics
Mmh
Wanadhani ni maringo, kumbe ni lifestyle
Cheki
[Chorus]
Msichana mrembo na vibe nice nice ah
Kwa shingo chain baridi swing ice ice yeah
Mkinicheki mi nang’aa aish aish ah
Juu mi hujibeba na maringo, maringo
Msichana mrembo na vibe nice nice ah
Kwa shingo chain baridi swing ice ice yeah
Mkinicheki mi nang’aa aish aish ah
Juu mi hujibeba na maringo, maringo
[Verse 1]
Maringo wanasema ni kiburi
Venye image iko clean ka sabuni
Mi hubaki on my toes ka ngamia
Jitaguo Wangechi biashara biashara
And when I come through mtajua
Dalili ya mvua ni mawingu mi hupumua
Nafundisha Trio Miondoko
Nakimbisha dream utadhani mbwa koko
Dem wa kivulai, bado nimeiva
Msichana kamili ka mimi lazima ni diva
Nairobi hadi Mumbai, bado nitaskika
Mimi ni mimi nawacha proof kwenye speaker
[Chorus]
Msichana mrembo na vibe nice nice ah
Kwa shingo chain baridi swing ice ice yeah
Mkinicheki mi nang’aa aish aish ah
Juu mi hujibeba na maringo, maringo
Msichana mrembo na vibe nice nice ah
Kwa shingo chain baridi swing ice ice yeah
Mkinicheki mi nang’aa aish aish ah
Juu mi hujibeba na maringo, maringo
[Verse 2]
Hawa maninja wanakuwanga magroupie
Ukiwalenga wanasema ni kiburi
Pia mapeng wanadai huyu dem
What can I say? My vibe is divine
Too many nights mmenisoma
Flow mnabite si mnachoma wachana na mine
Too many nights mmenibeba ufala walai
Na mkisema niwachane na mic, yeah
Siezi dance but for sure naeza roga
Mdem msupa mi huspin my Corolla
Sipendi stress, smoking on my sess
Mind is always set, so cheki how I flex ah ah
[Chorus]
Msichana mrembo na vibe nice nice ah
Kwa shingo chain baridi swing ice ice yeah
Mkinicheki mi nang’aa aish aish ah
Juu mi hujibeba na maringo, maringo
Msichana mrembo na vibe nice nice ah
Kwa shingo chain baridi swing ice ice yea
Mkinicheki mi nang’aa aish aish ah
Juu mi hujibeba na maringo, maringo
[Outro]
So, inamaanishaje?
Manzi ati anapenda tei sana, manzi wa kivulai
Yaani manzi anakunywa kama mwanaume, umeona?
Mmh, no vibes just receipts niite manzi wa kivulai
