YBW Smith – Wachana Na Me Lyrics Ft. Lilmaina & Sean MMG
Listen and read YBW Smith – Wachana Na Me Lyrics Ft. Lilmaina & Sean MMG on Doba KE.
Produced by Soundkraft, “Wachana Na Me” finds the Arbantone trio of YBW Smith, Lilmaina and Sean MMG shunning anyone trying to test them.
“Wachana na me” translates to “Leave me alone.”
Read YBW Smith – Wachana Na Me Lyrics Ft. Lilmaina & Sean MMG
[Intro: YBW Smith]
Mmh hmm
Ayy ayy
Alaaa!
Skiza
Ayy
Like a Boss
[Chorus: YBW Smith]
Wachana na me, ntakufanya madharau
Wachana na me, ntakufanya ufeel how
Wachana na me, lugha yangu ni mathao
Wachana na me (wacha), wachana na me (ayy)
Wachana na me, ntakufanya madharau
Wachana na me, ntakufanya ufeel how
Wachana na me, lugha yangu ni mathao
Wachana na me (wacha), wachana na me (ayy)
[Verse 1: Lilmaina]
Design natokea ungedhani ni karao
Mabuda wametense nikikuja sides zao
Na huu peng kwa hii Benz rangi yake ni ya thao
Nishamshow “Is how?,” nishamshow “Is how?”
Basi achana na me kuna venye unanibore
Manguna wakinicheki wanaona tu madoh
Na siezi kula nare kwanza nikitoka show
Juu najua niko madoh, rate card juu ya soo, so—
[Chorus: YBW Smith]
Wachana na me, ntakufanya madharau
Wachana na me, ntakufanya ufeel how
Wachana na me, lugha yangu ni mathao
Wachana na me (wacha), wachana na me (ayy)
Wachana na me, ntakufanya madharau
Wachana na me, ntakufanya ufeel how
Wachana na me, lugha yangu ni mathao
Wachana na me (wacha), wachana na me (ayy)
[Verse 2: YBW Smith]
Hii ni flow gani leo buda unatumia?
Hapa kwa hizi beats freestyle anaumia
I am the only one nilishapandisha gear
Tulishapandisha bei na mamorio kama mia
Nikianza hii shit ninajua nawa-murder
Saa hii nawabeba ki-design undercover
Sare Bape sta’s ni ma Nike kama kawa
Ama upige kotos mandula za ki papa
Huezi digi fiti nikipita kwa hizi streets
But unaeza niona fit nikichanganyisha bills
Niliwacha wanidiss ndo atleast wapate gigs
Niliwacha wakibonga kuwaseti mali clean
Madenge wao wote kuwatoka tukiswitch
Na tunaenda Al-Fakher juu Mirambo anamix
Cheki pandisia bling chini sheet na taxin
Pandisia bling chini sheet na taxin
[Chorus: YBW Smith]
Wachana na me, ntakufanya madharau
Wachana na me, ntakufanya ufeel how
Wachana na me, lugha yangu ni mathao
Wachana na me (wacha), wachana na me (ayy)
Wachana na me, ntakufanya madharau
Wachana na me, ntakufanya ufeel how
Wachana na me, lugha yangu ni mathao
Wachana na me (wacha), wachana na me (ayy)
[Verse 3: Sean MMG]
Nauliza, nauliza nani mwenye ploti, ai
Juu kuna kwela mwenye ako hapa nimenoki, ai
Mi naye usijali buda mi namwaga noti
Ni kitu flani Mulamwah anasemanga ni konki
Cheki buda niko zone, hata sikai sana dakika chache I’ll be gone
Wanakazana duri vijana wakule bone
Kuna venye manzi yake anasema mi namturn on
Hata sikai sana so cheki we—
Achana na me ulinifanya madharau
Ulidhani sitafika sa hii madoba ni kibao
Nimeshika East West na nacheza mpaka kwao
Saa hii vijana wametense na kwa mfuko ni mathao, so—
[Chorus: YBW Smith]
Wachana na me, ntakufanya madharau
Wachana na me, ntakufanya ufeel how
Wachana na me, lugha yangu ni mathao
Wachana na me (wacha), wachana na me (ayy)
Wachana na me, ntakufanya madharau
Wachana na me, ntakufanya ufeel how
Wachana na me, lugha yangu ni mathao
Wachana na me (wacha), wachana na me (ayy)
Produced by: EN1 Records
Mixed and Mastered: Like A Boss Records
Video directed by: Badman Bright
Did you enjoy YBW Smith, Lilmaina and Sean MMG’s Wachana Na Me Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

