Masterpiece King – Bestie Lyrics Ft. Lilmaina, Ares66 & Jaydonga

Listen and read Masterpiece King – Bestie Lyrics Ft. Lilmaina, Aress 66 & Jaydonga on Doba KE.
“Bestie” is the sixth song on Masterpiece’s debut album Escobar.
Read Masterpiece King – Bestie Lyrics Ft. Lilmaina, Aress 66 & Jaydonga
Krrr, krrr, krrrr
Uh, uh
Big Beats Afriq
[Pre-Chorus: Lilmaina]
Ati, amka asubuhi nikipiga ki sala
Mambo iko fresh mi nafeel tu shavaa
Naona umenitext haina worry nitakam
Ukicall nitajam, ni kungori ni kubad
[Chorus: Lilmaina]
Aya basi bonjour (ah, ah), oh cava, bien merci (ah, ah)
Niko form hapa tao Westy (ah)
Plus one leta bestie
Na wakitry kuzua sisi hatuskii
Basi bonjour (ah, ah), oh cava, bien merci (ah, ah)
Niko form hapa tao Westy (ah)
Plus one leta bestie
Na wakitry kuzua sisi hatuskii
[Verse 1: Lilmaina]
Si unajua kuenda class ni risky
Especially kama umechapa glass ya whisky
Aliniblock but bado ananicheki kwa big screen
Naeza kuja nisikuje, siko sure ka sijiskii, ah
Nikiperform sing-along sijiskii na-
Hao mafans nawarank ka real Gs na-
Niko ki-gat, fegi jas na Big G, wah
Sioni nikitoka ukipiga sishiki, yah
Miaka tano na bado mi nimesalia
Kuna marapper nawatoka wakabakia
Na haki yao kwani unadhania
Buda nawadishi ka kachumbari imekuja na kadania
So Kristoff (uh), huyo dem hunidandia
Na kuna manzi kwenye corner ananiangalia
Nacheki kamebeba figa chupa ile ya ??
?? kwani unadhania?
[Pre-Chorus: Lilmaina]
Amka asubuhi nikipiga ki sala
Mambo iko fresh mi nafeel tu shavaa
Naona umenitext haina worry nitakam
Ukicall nitajam, ni kungori ni kubad
[Chorus: Lilmaina]
Aya basi bonjour (ah, ah), oh cava, bien merci (ah, ah)
Niko form hapa tao Westy (ah)
Plus one leta bestie
Na wakitry kuzua sisi hatuskii
Basi bonjour (ah, ah), oh cava, bien merci (ah, ah)
Niko form hapa tao Westy (ah)
Plus one leta bestie
Na wakitry kuzua sisi hatuskii
[Verse 2: Masterpiece King]
Napiga guon fire curfew
Unanisaka hunipati unahatio
Mambang’a mtaani wanahunt yo
Alitry kushika mimba akahurtiwo
G-Shock kwa mwenyewe tuna Casio
Baby tukutane hapo commercial
Una morio nina morio cheki ratio
But ukikaa sana utanihurt yo
Uh, mi ni careless, ntatumia savings
Wakitupa teargas narudisha na headi
Jaba ninasiaga, dem ana sianda
Balenciaga najua hamnipendi
Uh, cava bien merci
Ukiniona itisha Hennessy
Sprite na nmemix na medicine
Lilmaina na Master, heavy team
[Pre-Chorus: Lilmaina]
Amka asubuhi nikipiga ki sala
Mambo iko fresh mi nafeel tu shavaa
Naona umenitext haina worry nitakam
Ukicall nitajam, ni kungori ni kubad
[Chorus: Lilmaina]
Aya basi bonjour (ah, ah), oh cava, bien merci (ah, ah)
Niko form hapa tao Westy (ah)
Plus one leta bestie
Na wakitry kuzua sisi hatuskii
Basi bonjour (ah, ah), oh cava, bien merci (ah, ah)
Niko form hapa tao Westy (ah)
Plus one leta bestie
Na wakitry kuzua sisi hatuskii
[Verse 3: Aress 66]
Tuko mangwelo, tuko mavello
Molly codeine tunachanganyanga za yellow
Glass ya gin imetepwa na ma yayo
Mi na brejin tuko highrie and mellow
Paranoid, number ya pedi siezi weka joh kwa Android
Tabloids, kwa magazeti picha ziko on steroids
Weka number tumsalimie, na ka inabamba finya sana ndo akaskizie
Na ka umenyamba usinikaribie, mi niko jaba mambo shavaa usinikatsie, yeah
Naskuma number na keroma ni ma watete
Wachekeshee, hao mafala nawaita kasee
Saii, ni vibes na inshallah
Ngwai ni mapienga zimekusanya
[Verse 4: Jaydonga]
She ain’t give me money, when I was in need
Eh heh she’s a Gold digger
Eh heh she’s a Gold digger
Nataka nikashike nikafinye nikadare, juu hakajawai guzwa
Nikifungua duka, mautamu zaruka
Ey, Massawe, kwanini umeninoki? Kwanini umeninoki?
Kwanini? Kwanini?
Produced by: Ares66
Video directed by: Antyvirus AV
Did you enjoy Masterpiece King featuring Lilmaina, Ares66 & Jaydonga’s “Bestie” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.