Mejja – Ushawahi Lyrics

Listen and read Mejja – Ushawahi Lyrics on Doba KE.
Akin to 2021’s “Tabia za Wakenya,” Mejja revisits similar themes, this time focusing on things people do when they are not being watched.
Read Mejja – Ushawahi Lyrics
[Intro]
Okonkwo
Producer Krome
Yo!
[Verse 1]
Ushai iba pesa ukajifanya si wewe
Ushai pigia ex ukishikwa na nyege
Ushai amka asubuhi umesetiwa kinembe
Ushai penda dem juu amebeba masgwembe
Ushai taka kuuliza alafu tu ukanyamaza
Saa hio hushiki kitu unakaa kama fala
Ushai jipata WhatsApp group haujui
Ati contribution? Mi sikujui
[Chorus]
Hako katabia ukiwa solo, ndio yako
Na kale katabia we unatuonyesha ni ya kutufunga macho
Ushai, ushai shai
Ushawahi?
Ushai?
Ushai, ushai shai
Ushawahi?
[Verse 2]
Ushai pata mtu anakunyandua abnormal
Na tangu akunyandue hujai kuwa normal
Ukitaka kumtoka, ushakuwa slave
Kila saa unafikiria tu sekete
Ushai toa juice ndani ya fridge
Hukutumia glass ukakunywa kwa packo
Then the same juice ukarudisha kwa fridge
Acha tabia mbaya hio ni tabia yako
Ushai gotea msee na umejiguza pua?
Change hio tabia hata kaa hatutajua
Wangapi wamenyora na hawajaoga mkono
Najua mnajijua, inueni mikono
Ngoja, nimemaliza verse
[Chorus]
Hako katabia ukiwa solo, ndio yako
Na kale katabia we unatuonyesha ni ya kutufunga macho
Ushai, ushai shai
Ushawahi?
Ushai?
Ushai, ushai shai
Ushawahi?
[Outro]
Okwonkwo
Eh manze Krome manze
Mmea joh bana, aai
Mimea tunapulula
Zimetushika tunapulula
Tuko marima tunapulula
Zimeriet tunapulula
Mimea tunapulula
Zikishuka tunapulula
Tuko marima tunapulula
Zime- zimepulula
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.