Lyrics > Octopizzo – Mtume Lyrics

Octopizzo – Mtume Lyrics

Octopizzo - Mtume
Screengrab, "Mtume" by Octopizzo, YouTube.

Listen and read Octopizzo – Mtume Lyrics on Doba KE. Paying homage to classic Kenyan music, “Mtume” samples Les Wanyika’s iconic “Barua.”

Les Wanyika was a Kenyan band popular in the 1980s and 1990s and “Mtume” translates to “Prophet.”

In the song, Octopizzo raps about his success, and family and lashes at those who are slaves to different cultures.

Read Octopizzo – Mtume Lyrics

[Intro: Barua by Les Wanyika sample]

Barua yako nimekwisha ipata she—

Pizzo de
8town
Welcome to the future baby
Nani mngori, nani mngori, nani mgori sana?

[Verse 1]

Rap rhumba na chakacha
We mtumwa vua chains kwanza
Mi mtume wa hii culture
Ka ulikwama we mtumba ulishachapa

Ala salala who hustler?
Sala ndo kwanza kabla swala
Dalil ama stanzas, keti chini kwanza
Huwezani na hizi standards

Kimya nikibanja, sauti nikipaza
Ni Ohanga toka Nyanza
Tushafika Mwanza
Nyerere nataja

Arusha sita saba
Rada chafu bana
Sina shamba London
Mkoloni atahama

Pweza nikizama
Pull up, pull up in the spot pot
All the bunnies hop hop
Namba nane top notch

Ay, dropping rivals on arrival
Ay, ka umeokoka beba Bible
Ay, mi hushoot bila tripod
Rap G-O-D mi sijali ni disciples

[Chorus]

Rap rhumba na chakacha
We mtumwa vua chains kwanza
Mi mtume wa hii culture
Ka ulikwama we mtumba ulishachapa

Rap rhumba na chakacha
We mtumwa vua chains kwanza
Mi mtume wa hii culture
Ka ulikwama we mtumba ulishachapa

[Verse 2]

Gravity Don, hauwezi resist
Mbona napenda walami ju mi si racist
Napenda ladies though, basi twende disco
Alafu nichipo, rada na the beast

Lucifer I’m lit, papi on the sheet
Ntakujia hii, mama on my sleeves
Papa on the street, I’m a big deal
Am I Fit BIG? You know what I mean

Motherland unabonga na Aboriginal
Really though, I’m knit like a Philly flow
Really Pope J.P injili mode
Really dope they craze me I’m really god

Mcee when I R-O-C
With my J’s on Empire state I’m really HOV
I create men like the gods do
Look at my son, peace love but I’m strapped too

I got a gun!!

[Chorus]

Rap rhumba na chakacha
We mtumwa vua chains kwanza
Mi mtume wa hii culture
Ka ulikwama we mtumba ulishachapa

Rap rhumba na chakacha
We mtumwa vua chains kwanza
Mi mtume wa hii culture
Ka ulikwama we mtumba ulishachapa

[Outro]

8town
Ye bana joh
Uko thirsty nina maji joh
Napenda manzi ana maringo
Mary Jane tulimarry Ngong
Shout out to the First Lady wa Papi Don
The messenger
Rada na the messenger
The messenger
Buda, rada na the messenger
Mi mtume

YouTube player
OCTOPIZZO – MTUME

Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.

Similar Posts