Octopizzo – Simba Bonga Lyrics
Listen and read Octopizzo – Simba Bonga Lyrics on Doba KE.
“Simba Bonga” is the ninth song on Octo’s eighth album Kich Ka’ Liech.
Read Octopizzo – Simba Bonga Lyrics
[Intro]
Stallion on the beat
Pizzo de
King and you know it
King and you know it
King and you know it
King and you know it
Ay, ay, ay, ay
Wewe!
[Chorus]
Na mafan wanadai
Simba bonga, simba bonga
Mafan wanadai dai dai dai
Simba bonga, simba bonga
Na msupa anadai
Simba bonga, simba bonga
Msupa anadai dai dai dai
Simba bonga, simba bonga
[Verse 1]
Ay, sina mboga sima, sima mboga sina
Si lazima dinner, zima mpaka stima
Ay, ita Mama Pima, ka ni shamba lima
Chimba hii kisima, fifa, dimba, buda mimba (Weuwe!)
Sneaker si Timber, rada ni bonga na simba yeah yeah
Jungle kwa fever, ambia diva apewe njiva yeah yeah
Don ni killer (wuewe!), bonga mbaya utazimwa wewe
Hater alizima, Pizzo de—
[Chorus]
Na mafan wanadai
Simba bonga, simba bonga
Mafan wanadai dai dai dai
Simba bonga, simba bonga
Na msupa anadai
Simba bonga, simba bonga
Msupa anadai dai dai dai
Simba bonga, simba bonga
Na mafan wanadai
Simba bonga, simba bonga
Mafan wanadai dai dai dai
Simba bonga, simba bonga
Na msupa anadai
Simba bonga, simba bonga
Msupa anadai dai dai dai
Simba bonga, simba bonga
[Verse 2]
Ukitaka utapata, ukishindwa utakataa
Ukikatwa utashangaa, oh, craft ni which art?
Ay, art ni witchcraft, Donald Trump kwa Twitter
Daily ni vita, tuko in suspends ka dress code ya Larry King
Manjege kwa dancefloor, iende chain wajibambe
Credo machingli, body mzima inalambwa na mabikra
Funga kalonzo na kamba, waba na-shower na mamba
Uhunye nani ndo mama, rada ni kwamba Agwambo ni Baba
Vitu kwa grao ni different coz Ministry of Sport iko na mchezo
Picha nachoma na menjoz, ganji ma—, gwanda Benzo
Don Don King King, Jon Jon mixing
Niko magunga, chunga kichungi rada kidungi
[Chorus]
Na mafan wanadai
Simba bonga, simba bonga
Mafan wanadai dai dai dai
Simba bonga, simba bonga
Na msupa anadai
Simba bonga, simba bonga
Msupa anadai dai dai dai
Simba bonga, simba bonga
Na mafan wanadai
Simba bonga, simba bonga
Mafan wanadai dai dai dai
Simba bonga, simba bonga
Na msupa anadai
Simba bonga, simba bonga
Msupa anadai dai dai dai
Simba bonga, simba bonga
[Outro]
Simba bonga, simba bonga
Bonga bonga bonga bonga
Simba bonga, simba bonga
Bonga bonga bonga bonga
Simba bonga, simba bonga
Bonga bonga bonga bonga
Produced by: Stallion
Did you enjoy Octopizzo’s “Simba Bonga” Lyrics? Listen and read more Kenyan Music Lyrics on our lyrics page.
Stay tuned to Doba KE for more news, music, lyrics, and updates. Remember to follow us on our social media channels.
